Date: 26-Apr-2025
Tarehe kama ya leo April 26, baba wa taifa, hayati mwalimu Julius K. Nyerere alifanya tukio la kuchanganya mchanga wa Tanganyika na Zanzibar ili kuweka umoja kati ya Zanzibari na Tanganyika na kupatikana nchi moja ya Tanzania. Tunawatakia watanzania wote Heri ya Siku ya Muungano!