Shule yetu imearikwa kushiriki maazimisho ya siku ya Adventurers' duniani yatakayofanyika Jumamosi, tarehe 18/05/2024 katika kanisa la Waadventista Wasabato Ubungo Hill, hivyo baadhi ya watoto wetu watashiriki katika kuonyesha vipaji vyao na programu mbalimbali wanazofundishwa ikiwemo Gwaride… Kwa wazazi watakaoweza kuungana nasi tunawakaribisha kushuhudia programu mbalimbali za watoto wetu…