Date: 13-Sep-2025

Leo saa tatu kamili usiku kutakuwa semina maalumu ya wazazi na walezi wote wa watoto wetu wa RISECHAMP itayofanyika kwa njia ya mtandao. Tafadhali jiunge kwenye semina hii ifikapo saa tatu kamili usiku kupitia kiunganishi kifuatacho https://meet.google.com/ppz-kapi-bxk