• Call Us+255762388399
  • Login

Class Party - First Term 2026


Date: 03-Jun-2026

Null  

Wanafunzi wetu watakuwa na Class Parties maalum kwa ajili ya kuhitimisha Muhula wa Kwanza wa Mwaka wa Masomo 2026.

Ni wakati wa kusherehekea mafanikio, kujenga urafiki na kufurahia matunda ya juhudi zilizowekwa katika kipindi chote cha muhula. Tunawatakia wanafunzi wote siku njema yenye furaha, umoja na kumbukumbu nzuri.