Date: 11-Mar-2025
Tunasikitika kuwatangazia kuwa baba wa mwanafunzi wetu, MARYBRIGHT CARLOS MKAMA (Darasa La Pili) amefariki jioni ya leo tarehe 11/03/2025. Maziko yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi tarehe 15/03/2025. Mungu aendelee kuwa faraja kwa familia na wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu, amina.